Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ana bima sawa nenda hospt yoyote kubwa, temeke hata mhimbili atatibiwa poa tuShukrani sana..,.Ndio alipima kwa CT scan akaonekana ana huo ugonjwa na ana bima ya NHIF.
Yana cost kiasi gani?
huku tarime wanaita ugonjwa wa wazee, hii kitu inaongezeka kwa kasiNaomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Muhimbili nitaanzia kujaribu hapo maana private bima wanasumbua."Akizungumzia matibabu ya ugonjwa huo Dkt. Isaka amesema inategemea na ukubwa wa tatizo ambapo katika hatua za awali mgonjwa anaweza kutumia dawa na tatizo kupona kupona kabisa.
Aidha, kama Mgonjwa atachelewa kupata matibabu katika hatua za awali atalazimika kufanyiwa upasuaji wa kawaida na kutoa tezi au kufanya upasuaji kwa kutumia vifaa maalum (minially invasive procedure).
Dkt. Isaka pia ameitaka jamii kutumia dawa kwa usahihi, kufuata maelekezo ya daktari ambapo itamfanya arejee katika hali ya kwaida na kuendelea na shughuli zake baada ya wiki sita hadi nane.
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatoa huduma za uchunguzi na matibabu ya tezi dume, kwa ushauri zaidi fika hospitalini katika kliniki ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo kila siku ya Jumanne na Alhamisi kuanzia saa 2:00 Asubuhi-9:00 Alasiri, Ghorofa ya kwanza."
Mwisho wa kunukuu.
NIMR wanayo dawa iko kwenye majaribi na inasemekana inafanya kazi vizuri. Duka lao lipo mbele ya EPZ Mabibo Extenal.Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Sawa mkuu nitaenda kuitazama. Ni alternative ya surgery au anainywa baada ya surgery?NIMR wanayo dawa iko kwenye majaribi na inasemekana inafanya kazi vizuri. Duka lao lipo mbele ya EPZ Mabibo Extenal.
Vv
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Kwa nini atapata furaha?Mtu kama Fundi manyumba akiona hii anafurahiiiiiiii
Ndio, wanasema hata kama kansa imeanza inapona.Sawa mkuu nitaenda kuitazama. Ni alternative ya surgery au anainywa baada ya surgery?
Wanapiga vita WazeeKwa nini atapata furaha?
Btw nimeishi kipatimo nafikiri unapafahamu ni along njinjo.
Duh hii habari njema sanaNdio, wanasema hata kama kansa imeanza inapona.
Vv
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app