Mkuu to be honest matibabu ya Tez dume mgonjwa akifanyiwa upasuaji(surgery)anatakiwa akutane na Daktari bingwa(specialist)maana mishipa ya Tez ni midogo sana ikitokea akafanyiwa vibaya upasuaji mara nyingi inajirudia tena na ikisharud tena itabid afanyiwe upasuaji mara ya pili na akishafanyiwa mara ya pili inabadilika na kuwa saratani(cancer)Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Kama upo Dar nakuomba unitafute nikuelekeze upate tiba itakayomtibu kabisa,huu ugonjwa ni hatari sana