goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Umemaliza kila kitu nakwasasa vimesha panda
Nazipata wapi mkuuPikipiki za umeme zipo kibao tu, unakachaji unatembea kilometa kama 70 hivi.
Kariakoo zipo bwelele na mikononi (used) zipo nuingi, japo sikushauri ya mkononi..Nazipata wapi mkuu
Vp kuhusu bei zake na uwezo wa kukaa na chajiKariakoo zipo bwelele na mikononi (used) zipo nuingi, japo sikushauri ya mkononi..
Zipo nyingi tuu vya kuchaji vidogo dogoHakuna
Nyingi km 90Pikipiki za umeme zipo kibao tu, unakachaji unatembea kilometa kama 70 hivi.
Sawa chief.Nyingi km 90
Mara ya mwisho vilikuwa vimefika 1.5 sijui, ni zile linkall ambazo zinataka kama kufanana na zile yamaha fulani hivi(jina maarufu limenitoka)Vp kuhusu bei zake na uwezo wa kukaa na chaji
Kweli kabisa, mm kwenda kibaruani km 22 kurudi 22, itakuwa imenisidia sana kufanya savingkilometer 90 tosha kabisa....siku tatu safi...
Home - kibaruani
Kibaruani - kijiweni {kupata ujugu kidogo} kijiweni - home =24km
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sa zile pikipiki,au ujingaZipo nyingi tuu vya kuchaji vidogo dogo
maelezo zaidiMara ya mwisho vilikuwa vimefika 1.5 sijui, ni zile linkall ambazo zinataka kama kufanana na zile yamaha fulani hivi(jina maarufu limenitoka)
Betri zinakaa na moto, waterloo kasema siku hizi zipo mpaka za km 90/charging. Ila kawaida baada kama ya mwaka betri zinakuwa zimekufa nguvu unabadili, betri mule zipo 5, zamani bei ilikuwa 250k sijui sasa hivi zitakuwa zimesimama vipi.
kwani hazipandi mlima?Sa zile pikipiki,au ujinga
hapo kwenye battery ndo changamoto lakini huenda ikawa na unafuu ukilinganisha na gharama ya mafuta kwa mwaka!Mara ya mwisho vilikuwa vimefika 1.5 sijui, ni zile linkall ambazo zinataka kama kufanana na zile yamaha fulani hivi(jina maarufu limenitoka)
Betri zinakaa na moto, waterloo kasema siku hizi zipo mpaka za km 90/charging. Ila kawaida baada kama ya mwaka betri zinakuwa zimekufa nguvu unabadili, betri mule zipo 5, zamani bei ilikuwa 250k sijui sasa hivi zitakuwa zimesimama vipi.