Wapi nitapata pikipiki ya umeme hapa nchini

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
978
Reaction score
1,237
Mafuta yamekuwa kero, Mwenye uwezo wa kubadili mfumo wa injini ya mafuta kwenda umeme au pikipiki ya umeme completely.

Na pia gharama zake zimekaaje respectively
 
Hapo jaribu Alibaba kuagiza au hapo uganga kuna campuni inauza kwa watu wa bodaboda hio campuni niya wahindi kama sikosei
 
Vp kuhusu bei zake na uwezo wa kukaa na chaji
Mara ya mwisho vilikuwa vimefika 1.5 sijui, ni zile linkall ambazo zinataka kama kufanana na zile yamaha fulani hivi(jina maarufu limenitoka)

Betri zinakaa na moto, waterloo kasema siku hizi zipo mpaka za km 90/charging. Ila kawaida baada kama ya mwaka betri zinakuwa zimekufa nguvu unabadili, betri mule zipo 5, zamani bei ilikuwa 250k sijui sasa hivi zitakuwa zimesimama vipi.
 
maelezo zaidi
 
hapo kwenye battery ndo changamoto lakini huenda ikawa na unafuu ukilinganisha na gharama ya mafuta kwa mwaka!
 
Back
Top Bottom