S shakuur New Member Joined Mar 7, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Sep 5, 2012 #1 Nimepata admission Mzumbe university , msc A&F , Wapi nitapata scholarship ?
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,222 Reaction score 4,689 Sep 7, 2012 #2 Nenda ubalozi wa Netherlands kaulizie kama bado ujachelewa deadline,huwa wanatoa.
mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 523 Sep 7, 2012 #3 Nenda ubalozi wa Kenya wametangaza juzi
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Sep 7, 2012 #4 ulivyokuwa unafanya maombi ulijua utasoma kwa njia ipi ya malipo kwa hayo masomo? kweli wewe ndo naenda kufanya msc mmmh kazi tunayo
ulivyokuwa unafanya maombi ulijua utasoma kwa njia ipi ya malipo kwa hayo masomo? kweli wewe ndo naenda kufanya msc mmmh kazi tunayo
byembalilwa JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 2,059 Reaction score 946 Sep 7, 2012 #5 unauhakika wa kupata ajira baada ya kusoma hiyo masters?
oldd vampire JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 253 Reaction score 52 Sep 8, 2012 #6 byembalilwa nawe ucnichekeshe,kwan unataka kuniambia kua kila mwenye degree ana uhakika wa kazi?ni kumwomba Mungu,mkuu kama umepata chanc ya masters go for it maana mtaani hakuna issue yani
byembalilwa nawe ucnichekeshe,kwan unataka kuniambia kua kila mwenye degree ana uhakika wa kazi?ni kumwomba Mungu,mkuu kama umepata chanc ya masters go for it maana mtaani hakuna issue yani
ma2mbo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 697 Reaction score 326 Sep 8, 2012 #7 byembalilwa said: unauhakika wa kupata ajira baada ya kusoma hiyo masters? Click to expand... ajira atapata tu usimkatishe tamaa,uzuri wa Masters utaangaika miaka miwili mitatu ila ukipata kazi mambo yanakuwa poa.
byembalilwa said: unauhakika wa kupata ajira baada ya kusoma hiyo masters? Click to expand... ajira atapata tu usimkatishe tamaa,uzuri wa Masters utaangaika miaka miwili mitatu ila ukipata kazi mambo yanakuwa poa.