wapi nitapata scholarship ya masters degree

wapi nitapata scholarship ya masters degree

shakuur

New Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Nimepata admission Mzumbe university , msc A&F , Wapi nitapata scholarship ?
 
Nenda ubalozi wa Netherlands kaulizie kama bado ujachelewa deadline,huwa wanatoa.
 
Nenda ubalozi wa Kenya wametangaza juzi
 
ulivyokuwa unafanya maombi ulijua utasoma kwa njia ipi ya malipo kwa hayo masomo? kweli wewe ndo naenda kufanya msc mmmh kazi tunayo
 
unauhakika wa kupata ajira baada ya kusoma hiyo masters?
 
byembalilwa nawe ucnichekeshe,kwan unataka kuniambia kua kila mwenye degree ana uhakika wa kazi?ni kumwomba Mungu,mkuu kama umepata chanc ya masters go for it maana mtaani hakuna issue yani
 
unauhakika wa kupata ajira baada ya kusoma hiyo masters?

ajira atapata tu usimkatishe tamaa,uzuri wa Masters utaangaika miaka miwili mitatu ila ukipata kazi mambo yanakuwa poa.
 
Back
Top Bottom