mwali wa giningi
Member
- Nov 14, 2013
- 67
- 42
Sijafanya badoMadam, unatangaza online ktk social medias??
Pc moja unauza sh ngapi? zinaukubwa gan? na akitokea mtu wa jumla utamuuzia kiasi gan
Ninauza jumla hata hivyo Mkuu. Pc moja kwa small ni tsh. 6,000 na kubwa kwa maana ya large ni tsh 8,000 kwa pc.Pc moja unauza sh ngapi? zinaukubwa gan? na akitokea mtu wa jumla utamuuzia kiasi gan
Iyo ni opportunity nzuri ambayo unaweza itumia kutafta masoko,Sijafanya bado
Iyo ni opportunity nzuri ambayo unaweza itumia kutafta masoko,
Na kwa jinsi bidhaa zako zinavoonekana ziko vizuri..am sure ukijitangaza huwezi kosa wateja