Wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki 1 ili kijana mwenzenu nipendeze siku ya harusi ya dada yangu?

Hongera kwa dada yako kuolewa, vilevile msalimie sana. All tha best bro. Kuhusu suti sina uzoefu, mara ya mwisho mzee alininunulia ya 70k kwa ajili ya form 4 graduation......

Probably andaa above 250k
aisee mi hela mingi sana [emoji15] je siwez kupata za mtumba au koti tu ntavaa na jeans
 
Laki moja tafuta mchina mbovu au mtumba, tafuta kitu Turkish kijana upendeze angalau 300,000 ukichemka sana 250,000 hapo waweza tokelezea
 
Dada uyooo anaolewa dada uyooo anaolewa, mahali ishatolewaaa...
 
Mkuu Baraka, vipi harusi iliendaje na je ulifanikiwa kupata kasuit flani hivi kwa ile laki 1 yako?,tupe mrejesho basi na kapicha/tupicha ili tuone jinsi warembo walivyopata tabu sana siku hyooo
Amaa hakika warembo walipata tabu sana nilipata suit ya blue singo button kwa elfu80 tu,,,,,
 
Laki moja tafuta mchina mbovu au mtumba, tafuta kitu Turkish kijana upendeze angalau 300,000 ukichemka sana 250,000 hapo waweza tokelezea
Nlipata kwa 80k tu nzuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…