Wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki 1 ili kijana mwenzenu nipendeze siku ya harusi ya dada yangu?

Hiyo hela unapata suti cha kufanya tafuta fundi mkali wa kitaani akupime ukanunue kitambaa mwenyewe tena cha ukweli maeneo ya clock tower Samora unampa fundi (akikisha awe mkali wa suti) kisha mpe akushonee kwa 50 tu
 
ivyo ndivyo nilivyofanya mkuu nimetoa suti kali tu kwa 80k
 
kabisa mkuu,,alfu nmegundua humu wengi washamba tu eti suit laki3 wakati elfu80 tu nmevaa freshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mkuu, unamaanisha hiyo 80,000/= ni pamoja na kitambaa+gharama za kushonea??. aisee kama ni hivyo basi bei rahisi
 
Ungekua Dar hapo unapata kila unachotaka.

Ilala unanunua koti la suti halizidi elfu kumi, shati jeupe ungeenda kununua kariakoo dukani, shati halizidi 25K.

Suruali unachukua ya mtumba kitambaa kimenyooka Ilala kule kule haizidi 20K.

Ukiingia ndani kidogo unakuta viatu vya mtumba havizidi 25.

25 unayobaki nayo kilinda mfuko siku ya sherehe. Gari likikuacha unaita uber.

Bargaining power yako kama ni kubwa si unakumbuka zile chenji chenji za mavazi? Kesho unaamka na supu.
 
Last edited:
ivyo ndivyo nilivyofanya mkuu nimetoa suti kali tu kwa 80k
Siyo washamba wanapenda kuonekana matawi. Laki moja unavaa suti yaani hilo siyo swali, ila kama unataka ukavae suti za sheria ngowi ndiyo utaona haitoshi.
 
Alafu ukute jamaa wakati anamfatilia dada ako ulikua unammaindi, mimi ukinifanyia hivyo alafu kwenye harusi unajifanya unakata mauno ya kufa mtu, NAZIMA MZIKI.
 
Dada yako saizi kaishaingizia dushele mara kibao na hilo njemba.
 
Hahaha daah kuna watu wanavituko kwaio unataka utupie suti kali iki ung'oe mademu wakali...vipi moka kali unayo tayari? Kama vipi anzia na braids maids wale ndo rahisi kunyapia nyapia
 
Habari zenu wazee baba

Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti.

Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani hivi cha kisasa ukumbi mzima washangaee na niweze kung'oa mademu kupitiia hiyo suti nitakayovaa.

Msaada ninaohitaji kutoka kwenu ni wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki moja kuanzia juu hadi chini? Tupia picha ya suti kali kama unayo niweze kuangalia fashion..

NB: Mimi sijawahi kuvaa suti tangu nizaliwe ndo nataka nivae hyo tarehe 30
Mtumbani utapata usiwe mvivu wa kuchagua
 
Njoo Dom faza kuna duka jamaa angu anaitwa dula vitu vya uhakika kama unavyoniona mkuu.
tapatalk_1533885084352.jpeg
 
Habari zenu wazee baba

Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti.

Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani hivi cha kisasa ukumbi mzima washangaee na niweze kung'oa mademu kupitiia hiyo suti nitakayovaa.

Msaada ninaohitaji kutoka kwenu ni wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki moja kuanzia juu hadi chini? Tupia picha ya suti kali kama unayo niweze kuangalia fashion..

NB: Mimi sijawahi kuvaa suti tangu nizaliwe ndo nataka nivae hyo tarehe 30
Kuna jamaa anashona kaunda kwa laki moja nzuri sana
 
Alafu ukute jamaa wakati anamfatilia dada ako ulikua unammaindi, mimi ukinifanyia hivyo alafu kwenye harusi unajifanya unakata mauno ya kufa mtu, NAZIMA MZIKI.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom