Wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki 1 ili kijana mwenzenu nipendeze siku ya harusi ya dada yangu?

Mtafute waziri wa mambo ya ndani akupe muongozo.
 
Kwa bajeti ya laki jaribu kuangalia maduka ya pembeni ya mji au maduka ya bei rahisi. Kama uko Arusha ntakuelekeza chimbo zinakopatikana za bei hiyo na chini ya hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…