Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengeneza benchi nje ya nyumbani kwako uwe na randa pamoja na nyundo tu watu watakufuata wenyewe uwatengenezee milango na makabatiJamani, mimi ni Mwanafunzi nimehitimu chuo ila naufundi wa furniture nilikuwa nahitaj msaada wa mawazo jinsi gani unaweza pata tenda sehemu mbalimbali mana naona soko ni gum kiasi chake kupitia ABC na uzoefu naweza kuimprove.
Unajua kutengeneza mizinga ya nyuki?Jamani, mimi ni Mwanafunzi nimehitimu chuo ila naufundi wa furniture nilikuwa nahitaj msaada wa mawazo jinsi gani unaweza pata tenda sehemu mbalimbali mana naona soko ni gum kiasi chake kupitia ABC na uzoefu naweza kuimprove.