Wapi nitapata Upinde na mishale ya kisasa kama hii

Huo upinde wenye lenzi hapo juu ndio wenyewe sasa. Hivi waliomshambulia nduguye mkurugenzi wa mbo ya usalama hapa nchini walitumia aina hizo au?
 
Yanapatikana maduka ya silaha.
(Tanganyika arms).
Kama sikosei bei ni Laki nane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…