jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
Ahsante ntajalibu kwenda boss wangu nkachekKama upo DAR jaribu kwenda mitaa ya gerezani
Nataka piston rings,fuel filter,oil filter...na gasketsUnataka vifaa gan boss kuna maeneo iringa hzo old machine zpo mingi sana
Mimi npo mkoa wa mara musoma...ila wiki kesho ntaenda mwanza kuvichekiUnataka vifaa gan boss kuna maeneo iringa hzo old machine zpo mingi sana
Ukikosa Mwanza. Mimi nnaweza kuvitapa kwa Dar.Mimi npo mkoa wa mara musoma...ila wiki kesho ntaenda mwanza kuvicheki
Pistoni mbili...hp 22 na rpm 1800Ukikosa Mwanza. Mimi nnaweza kuvitapa kwa Dar.
Kikubwa ujue n Piston ngap 2
0713 302 846