Wapi nitapata vifaa vya machine za zamani Lister Petter

Wapi nitapata vifaa vya machine za zamani Lister Petter

jogoo wa maajabu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
773
Reaction score
1,589
pole na majukumu ya kutwa wapendwa,

Nyumbani kwetu kuna machine zile za zamani Sana zinaitwa Lister Peter tulikuwa tunaitumia zamani Sana kwa matumizi ya kusaga nafaka.

Sasa nimekuwa kijana mwenye kujieleewa nataka niitengeneze upya niitumie ktk Kilimo cha umwagiliaji ama mgodini kusukuma karasha Sasa ndg zangu najua hizi spea za mashine kuna sehemu zinapatikana na Ni imara Sana naomba mnijuze... ndugu zangu

View attachment 2244591
 
Unataka vifaa gan boss kuna maeneo iringa hzo old machine zpo mingi sana
 
Back
Top Bottom