Karibu nawewe mkuu
View attachment 3003249
Mkuu ukihitaji ya namna hii nicheki
Bei gani unauza?
mkuu naomba uniunganishe na hicho kiwanda nahitaji kwa ajili ya biashara.Unahitaji mifuko mingapi, kama nitaona idadi kubwa ntakuunganisha na kiwanda kimoja ukapate bei rahisi zaidi
Nenda kiwandani shekilango nyuma ya office za newforce. Kuna kiwanda cha wachina pale. Mtafute hata boda tu wa maeneo yale atakufikisha.Habari za asubuhi wakuu,..?
Aisee ninaomba msaada mwenye kufahamu wapi nitapata viroba vya kilo mia, mia hamsin, vyakubebea mahindi, mchele, nk.
Ninahitaji pisi nyingi, kuanzia elfu kumi nakuendelea so nikipata connection ya bei ya chini zaid nitashukuru sana, iwe Dar es salaam. So kama unafahamu wapi ninaweza kupata hasa viwandani ninaomba maelekezo tafadhali.
Naomba mawasiliano yakoView attachment 3003249
Mkuu ukihitaji ya namna hii nicheki