Wapi nitapata viroba vya kilo mia na mia hamsini vya kubebea nafaka?

Wapi nitapata viroba vya kilo mia na mia hamsini vya kubebea nafaka?

Dexta

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
2,096
Reaction score
5,211
Habari za asubuhi wakuu,..?

Aisee ninaomba msaada mwenye kufahamu wapi nitapata viroba vya kilo mia, mia hamsin, vyakubebea mahindi, mchele, nk.

Ninahitaji pisi nyingi, kuanzia elfu kumi nakuendelea so nikipata connection ya bei ya chini zaid nitashukuru sana, iwe Dar es salaam. So kama unafahamu wapi ninaweza kupata hasa viwandani ninaomba maelekezo tafadhali.

IMG-20240528-WA0113.jpg
IMG-20240528-WA0112.jpg

Unahitaji mifuko mingapi, kama nitaona idadi kubwa ntakuunganisha na kiwanda kimoja ukapate bei rahisi zaidi
Ninahitaji kuanzia elfu kumi mkuu, nitashukuru sana ukinipatia connection ya kiwandani moja kwa moja
 
Kiwanda cha hivo viroba kipo Mlandizi.
Ukiwa unashuka kilima kuelekea Ruvu JKT. Kipo kushoto kutokea Dar.
Hapo utapata hata viroba laki mbili kwa lisaa tu.
 
Naomba upatiwe vyenye ubora mkuu

Wasikupe viroba ukibebea kinapasuka au kuchanika. Hii bongo ni wizi kila kona
 
Sema nikuunge na madalali wa kimataifa 😎 mzigo utakufikia hapo hapo ulipo.
 
Habari za asubuhi wakuu,..?

Aisee ninaomba msaada mwenye kufahamu wapi nitapata viroba vya kilo mia, mia hamsin, vyakubebea mahindi, mchele, nk.

Ninahitaji pisi nyingi, kuanzia elfu kumi nakuendelea so nikipata connection ya bei ya chini zaid nitashukuru sana, iwe Dar es salaam. So kama unafahamu wapi ninaweza kupata hasa viwandani ninaomba maelekezo tafadhali.

Nenda kiwandani shekilango nyuma ya office za newforce. Kuna kiwanda cha wachina pale. Mtafute hata boda tu wa maeneo yale atakufikisha.
 
Back
Top Bottom