wapi nitapata vitabu vya HUMAN ANATOMY na PHYSIOLOGY dar es salaam

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
wakuu naomba kuuliza wapi vitabu vya anatomy na physiology kwa level ya diploma vinapo uzwa kwa upande wa dar es salaam na vina fikia shilingi ngapi au kama kuna wepsite ambayo naweza soma hayo masomo free naomba mnitajie naombeni msaada wenu wakuu
 
Taja majina ya vitabu usaidiwe wewe, Kama ni anatomy kuna snells, grays anatomy na vingine vingi au Kama ni physiology kuna guyton, Hii ni kwa MD sasa sijui Kama na NYie mnatumia hiyo hiyo
 
wakuu naomba kuuliza wapi vitabu vya anatomy na physiology kwa level ya diploma vinapo uzwa kwa upande wa dar es salaam na vina fikia shilingi ngapi au kama kuna wepsite ambayo naweza soma hayo masomo free naomba mnitajie naombeni msaada wenu wakuu

Hi Sheko,

Tunauzo Ebooks nyingi on anatomy and physiology. Kitabu unachohitaji, Clinical Anatomy by Systems cha Richard S. Snell pia kipo. Bei zetu ni kuanzia 10,000/- mpaka 20,000/-. Wasiliana nasi kupitia 0715076681 au ebookstz@gmail.com kwa maelezo zaidi. Asante.
 
Back
Top Bottom