Ungeenda hospitali kwa sasa ungekua umeshapata ufafanuzi na matibabu juu ya tatizo lako kuliko kusubiri uulize watu wakujibu hukuJamani naombeni msaada kuhusu uzi huu. Kila nitayemuuliza sipati jibu la swali langu. Yaani nimekuja huku kwa kuwa watu hawanijibu, basi hadi humu hakuna mtaalam?
Tafadhali nijibuni msinipuuze.