Wapi nitaweza kutibiwa varicocele?

Wapi nitaweza kutibiwa varicocele?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
481
Habari zenu humu ndani.

Mimi nina tatizo kitaalam linaitwa varicoceles. ( left varicoceles) limegundulika baada ya vipimo vya ultrasound.

Nimeelezwa kuwa tatizo hili ndilo linanipelekea mimi kuwa na low sperm count.

Je, ni hospitali gani naweza kutibiwa tatizo hili au kama mtu ana mawasiliano na daktari anayeweza kunisaidia naombeni msaada tafadhali.

Ahsante.
 
Hapo hospitali wameshindwa kukutibu kabisa
 
Jamani naombeni msaada kuhusu uzi huu. Kila nitayemuuliza sipati jibu la swali langu. Yaani nimekuja huku kwa kuwa watu hawanijibu, basi hadi humu hakuna mtaalam?

Tafadhali nijibuni msinipuuze.
 
Jamani naombeni msaada kuhusu uzi huu. Kila nitayemuuliza sipati jibu la swali langu. Yaani nimekuja huku kwa kuwa watu hawanijibu, basi hadi humu hakuna mtaalam?

Tafadhali nijibuni msinipuuze.
Ungeenda hospitali kwa sasa ungekua umeshapata ufafanuzi na matibabu juu ya tatizo lako kuliko kusubiri uulize watu wakujibu huku
 
Hii nchi hospitali kubwa yenye kila kitu ni Muhimbili National Hospital. Nenda kaonane na daktari bingwa wa matatizo ya uzazi ya wanaume
 
Back
Top Bottom