Wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa

Wazungu Ni wachafu Sana linapokuja swala zima la maliwatoni,
Wengi hawajitawazi na maji, wanatumia tissue.

Vyoo vingi vya kukaa havikupi access ya ukimaliza kukata gogo ujisafishe vipi na maji.

Wameweka tissue paper Kama mbadala wa maji.

Na hata hivi vya kachuchumaa wao hawataki kushika mavi, wanajinyunyizia TU na kibomba Kisha jifuta na tissue wanaondoka.

Sina uhakika Sana Kama tissue itakusafisha vema kinyeo bila kubakisha traces za mavi mavi kundun.

Bado hujaja Suala la Yale majimaji yanabaki pale juu,
Suala la kushusha gogo Kisha maji Yale kukurudia Ni changamoto Sana.

Hizi taratibu tumeigauko ulaya ila kiusafi Ni changamoto sana.
 
Vinakera Sana[emoji4]

Afu Kuna kitu madau mmoja kauliza
"Choo Cha kukaa, Unajisafishaje na maj?"

Naona watu wanademka TU humu, hawatak kulijibu Hilo swali[emoji4]
Niko nawaangalia Wana jf wanavyotembea na mabaki yao ya mavi tu kwny nguo zao kisa vyoo vya kuchuchumaa.
 
Nataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo

1. Public toilet
2. Watoto
3. Master

Naomba na sababu?

Mkuu weka vyote vya kuchuchumaa TU achana cha kukaa. Unakaa ugundue nini[emoji2]
Na ule ubaridi mwanaume una relax vipi pale [emoji3]. suala la maji kukurukia n changamoto labda ujaze tissue mle ndani, hivo vyoo vya kukaa n chanzo cha maambukizi ya magonjwa. hasa U.T.I

Binafsi choo cha kukaa sikipendi kabisa n mateso mno kukitumia [emoji1666].
 
Ukizeeka utajua hujui..

Lakini upo sahihi, lakini pia vyoo vya kukaa ni gharama kubwa sana, na pia kama maji yakikataa huwezi vitumia..

Maitenance yake pia ni gharama sana, nadhani vyoo vya kukaa viwe baadhi ya vyumba kama master.
 
Hahaha fala sana we jamaa hahaha
 
Kiafya nashauri
Choo cha kukaa kiwe kwenye master rooms
Chuchumaa kwenye public toilets.
Kwenye public toilet unapata mtu anakojoa pembeni sehemu ya kukalia mtu unapoingia inabd uanze usafi ndio ukate gogo.

Nmewahi ingia shoppers plaza mikocheni nikakuta vyoo vya kukalia watu wamekojolea juu ni vichafu havifai hakuna tissue hakuna sabuni yaani ni uchafu na kuambukizana magonjwa pasipo sababu za msingi.

Vyoo vya kukaa ni vizuri mno ila vinataka usafi wa hali ya juu.

Kuhusu hoja ya kupata mgeni mgonjwa asieweza kuchuchumaa, unapojenga nyumba jenga room mbili self contained, moja yako na moja ya watoto wako wa kike ambayo on emergency case itatumika kuhudumia mgeni mgonjwa. Au kama uko vizuri weka rooms zote self contained[emoji2]
 
public cha kuchuchumaa (kukaa kila mtu sioni kama ni nzuri)
kwako na kwa watoto cha kukaa, Wazazi wakija watatumia cha watoto
 
Choo cha kukaa hakifai.

Niishie hapo
 
Ukumbuke nyuma unayojenga utaishi mpka uzee wako I Inshalah na uzee ukiwepo kuchuchumaa ni shida hivyo kwa nyumbani ni sehem isiyokua na mwingiliano sana na ni pasafi unashauriwa vyoo vyote vice vya kukaa. Hata mtu akiwa mgonjwa ataweza kujimudu kwenda huko chooni bila msaada wa ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…