Wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa

Ukumbuke nyuma unayojenga utaishi mpka uzee wako I Inshalah na uzee ukiwepo kuchuchumaa ni shida hivyo kwa nyumbani ni sehem isiyokua na mwingiliano sana na ni pasafi unashauriwa vyoo vyote vice vya kukaa. Hata mtu akiwa mgonjwa ataweza kujimudu kwenda huko chooni bila msaada wa ziada
Ukizeeka utabadili mfumo kutoka mfumo wa kuchuchumaa kwenda mfumo wa kukaa au ukaongeza choo cha kukaa.

Ukitafuta pesa na ukaipata hayo mawazo ya kimasikini hutokuwa nayo kabisaaaaaaaaaaa
 
Ukumbuke nyuma unayojenga utaishi mpka uzee wako I Inshalah na uzee ukiwepo kuchuchumaa ni shida hivyo kwa nyumbani ni sehem isiyokua na mwingiliano sana na ni pasafi unashauriwa vyoo vyote vice vya kukaa. Hata mtu akiwa mgonjwa ataweza kujimudu kwenda huko chooni bila msaada wa ziada
Ukizeeka kwenye choo cha kuchuchumaa unaweka kiti cha plastic unakitoboa pale kati.
 
Back
Top Bottom