Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
DesignChoo cha kukaa kina unyama mwingi sana
View attachment 2072364
Ukizeeka utabadili mfumo kutoka mfumo wa kuchuchumaa kwenda mfumo wa kukaa au ukaongeza choo cha kukaa.Ukumbuke nyuma unayojenga utaishi mpka uzee wako I Inshalah na uzee ukiwepo kuchuchumaa ni shida hivyo kwa nyumbani ni sehem isiyokua na mwingiliano sana na ni pasafi unashauriwa vyoo vyote vice vya kukaa. Hata mtu akiwa mgonjwa ataweza kujimudu kwenda huko chooni bila msaada wa ziada
Choo cha kukaa kama wakati wa kujisafisha inakuwaga mtihani sana kupitisha maji.
Ukizeeka kwenye choo cha kuchuchumaa unaweka kiti cha plastic unakitoboa pale kati.Ukumbuke nyuma unayojenga utaishi mpka uzee wako I Inshalah na uzee ukiwepo kuchuchumaa ni shida hivyo kwa nyumbani ni sehem isiyokua na mwingiliano sana na ni pasafi unashauriwa vyoo vyote vice vya kukaa. Hata mtu akiwa mgonjwa ataweza kujimudu kwenda huko chooni bila msaada wa ziada
Atatumia stuliukipata mgeni kama mzazi mkwe na ni mgonjwa atachuchumaa vipi?