Wapi Ntapata supu ya kenge hapa Dar?

DRC nilikula mamba na supu yake, kenge na supu yake, nyama choma ya nyoka, na nyama ya mbwa nilikula kwa Rafiki yangu mchina yuko masaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…