OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Si ukamate kenge uchinje upate supu mbona wapo wengi tuu tena hawana mwenyeweMojawapo kati ya hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ukamate kenge uchinje upate supu mbona wapo wengi tuu tena hawana mwenyeweMojawapo kati ya hizo
IPO Kama supu ya chatu mkuuSijawahi kunywa supu ya kenge, ladha yake ipo vipi mkuu. Supu ya mbwa nimeshakunywa sana
Sawa mkuu, hivi kenge pia unapomuandaa wakati wa kukata nyama pia anatolewa sumu kama mamba/ chatu.IPO Kama supu ya chatu mkuu
Chatu na kenge hawana sumu ni Kama SAMAKI tuuSawa mkuu, hivi kenge pia unapomuandaa wakati wa kukata nyama pia anatolewa sumu kama mamba/ chatu.
ndio mkuuUlipeleka??
Great!?;ndio mkuu