Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Namkumbuka Nurueli katika kibao chake cha awali sana cha Mng'aro wa silva. Ule wimbo hadi kesho ni classic. Nikamsikia tena katika wimbo wa kilio, akimlilia baba yake. Nikaja tena kumsikia akiwa na B Band akivunja aya moja kwa umakini na umahiri wa hali ya juu. Nzela mimi jirani yako...
Mara nikasikia mshkaji teja, sijui kama hizi tuhuma zilikiwa na ukweli. Kabla ya hapo niliwahi kumwona EA TV nadhani kipindi cha planet bongo ya Salama enzi hizo. Jamaa alikuwa akizungumzia mrejeo wake nikasema, yap! Juu ya nini watu kama hawa kupotezwa katika fani? Come back and come again man. Jamaa anapendezea kuwa solo pia maana anajiweza.

mtu anayejua kuitumia sauti ni diamond huyu jamaa anavoco nzuri lakini me naweza sema ajitambui kuwa anaweza kufanya makubwaTupo wengi tunaomkubali sema gemu gumu vipaji sio tena dili, dili ni kuwa na connection.....Jamaa anakomaa na gemu kuna wimbo mpya wa Kala jeremia ameimba kiitikio....wewe jiulize hivi Nuh Mziwanda anaimba nini hadi apate shows na air time ya kutosha?