Nami nilijiuliza sana. Ila hii ni fursa ya kutengeneza app ya Premier League-TZ kisha upige pesa. Sidhani kama TFF wataleta fitna!Naomba kujuzwa ni website gani unaweza kupata takwimu za vpl katika msimu huu,yaani mfungaji bora, anayeongoza kwa assist, kipa anayeongoza kwa saves n.k,
Kama zilivyo ligi za ulaya huko hizi taarifa ukiingia kwenye website husika unazikuta.. sasa kwa ligi hii ya bongo unazipata wapi?
Bongo ni ngumu sanaNaomba kujuzwa ni website gani unaweza kupata takwimu za vpl katika msimu huu,yaani mfungaji bora, anayeongoza kwa assist, kipa anayeongoza kwa saves n.k,
Kama zilivyo ligi za ulaya huko hizi taarifa ukiingia kwenye website husika unazikuta.. sasa kwa ligi hii ya bongo unazipata wapi?
Mkuu ni kutaka kufahamu tu sheikh wang
Hahahaha huo sas uchochezi
Inasikitisha sana, bila takwimu hatuwezi kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda.. na hatuwezi kujua wachezaji wetu wana kariba gani na wapi pa kupafanyia kazi.. inasikitisha sanaNdugu yangu nilikosa deal moja kubwa sana mwaka 2015. Nakumbuka niliweka uzi hapa kuwalaumu TFF na Vilabu kwa kukosa kumbukumbu muhimu.
Nilipata deal na watu wa BBC sport ili nifanye nao kazi ya kutengeneza historia za timu ya taifa na vilabu vikongwe pamoja na wachezaji wao.
Niliyokutana nayo ni aibu.
Nilianzia TFF wakaniambia zaidi ya karatasi za usajili hakuna takwimu wala kumbukumbu zozote.
Nikatoka nikaenda Msimbazi; hapo napo sikukuta chochote zaidi ya mtu mmoja kunishauri nimwone Hans Pope. Huku napo sikupata msaada zaidi ya kupewa stori za kuifunga Zamaleck na kufika fainali ya CAF mwaka 1992 huku kukiwa hakuna hata kumbukumbu ya profile za wachezaji.
Nikaona niende Jangwani, hapo ndipo kichekesbo zaidi. Nikapokelewa kwa mbwembwe kwa kuwa nilikuwa na wazungu.
Nikauliza nahitaji historia ya Klabu na profile za wachezaji wenu. Akaitwa mzee ambaye namkumbuka kwa jina moja tu Mtoi na nikahakikishiwa huyo ndio ana kila kitu.
Nikaambiwa nimfuate nikihisi labda ananipeleka ofisini badala yake akanipekeka pale chini akaweka kiti kisha akaniambia niulize chochote kuhusu Yanga? Nikahisi kizunguzungu na kuchanganyikiwa.
Mwisho niliamua kutumia library ya UDSM upande wa magazeti na library ya Radio Tanzania Dar esalaam (Hii mnayoita TBC)
Hii ndio miamba ya soka ya Tanzania. TFF walitoa lawama kwa FAT ya Ndolanga.
Azam nao wanaelekea huko huko kwenye kutokutunza Historia ya Klabu.
Hii ndio Tanzania, hata ukiuliza Mgosi, Kichuya au Canavaro wamecheza mechi ngapi za ligi hakuna mwenye jibu.
Kila la kheri kwenye kazi yako ndugu yangu.
fakyu @tffNaomba kujuzwa ni website gani unaweza kupata takwimu za vpl katika msimu huu,yaani mfungaji bora, anayeongoza kwa assist, kipa anayeongoza kwa saves n.k,
Kama zilivyo ligi za ulaya huko hizi taarifa ukiingia kwenye website husika unazikuta.. sasa kwa ligi hii ya bongo unazipata wapi?
Ni kweli kweli hata tunaposema mchezaji fulani ni mzuri tunatumia rekodi yake.Inasikitisha sana, bila takwimu hatuwezi kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda.. na hatuwezi kujua wachezaji wetu wana kariba gani na wapi pa kupafanyia kazi.. inasikitisha sana
Hizi co zama za kukesha kwenye station za Radio Mzee, na hata ukiamua kukesha huwezi pata kila kitu huko.Bongo ni ngumu sana
Japo jitahidi kuwa karibu na media hasa vipindi vya michezo kama EFM...Clouds Sport Extral...Sport Bar...Mshikemshike viwanjani...UFM kuanzia saa kumi hadi 12....
Jaribu kulike page za watu hawa..Shafii Dauda...Eddo Kumwembe...Salehe....n.k
Ulivyokosa deal ndio ukachukuliwa na Bashite? Kupambana na makamanda bila kutumia akiliNdugu yangu nilikosa deal moja kubwa sana mwaka 2015. Nakumbuka niliweka uzi hapa kuwalaumu TFF na Vilabu kwa kukosa kumbukumbu muhimu.
Nilipata deal na watu wa BBC sport ili nifanye nao kazi ya kutengeneza historia za timu ya taifa na vilabu vikongwe pamoja na wachezaji wao.
Niliyokutana nayo ni aibu.
Nilianzia TFF wakaniambia zaidi ya karatasi za usajili hakuna takwimu wala kumbukumbu zozote.
Nikatoka nikaenda Msimbazi; hapo napo sikukuta chochote zaidi ya mtu mmoja kunishauri nimwone Hans Pope. Huku napo sikupata msaada zaidi ya kupewa stori za kuifunga Zamaleck na kufika fainali ya CAF mwaka 1992 huku kukiwa hakuna hata kumbukumbu ya profile za wachezaji.
Nikaona niende Jangwani, hapo ndipo kichekesbo zaidi. Nikapokelewa kwa mbwembwe kwa kuwa nilikuwa na wazungu.
Nikauliza nahitaji historia ya Klabu na profile za wachezaji wenu. Akaitwa mzee ambaye namkumbuka kwa jina moja tu Mtoi na nikahakikishiwa huyo ndio ana kila kitu.
Nikaambiwa nimfuate nikihisi labda ananipeleka ofisini badala yake akanipekeka pale chini akaweka kiti kisha akaniambia niulize chochote kuhusu Yanga? Nikahisi kizunguzungu na kuchanganyikiwa.
Mwisho niliamua kutumia library ya UDSM upande wa magazeti na library ya Radio Tanzania Dar esalaam (Hii mnayoita TBC)
Hii ndio miamba ya soka ya Tanzania. TFF walitoa lawama kwa FAT ya Ndolanga.
Azam nao wanaelekea huko huko kwenye kutokutunza Historia ya Klabu.
Hii ndio Tanzania, hata ukiuliza Mgosi, Kichuya au Canavaro wamecheza mechi ngapi za ligi hakuna mwenye jibu.
Kila la kheri kwenye kazi yako ndugu yangu.
Makamanda wa Al Qaeda au Al Shabab?Ulivyokosa deal ndio ukachukuliwa na Bashite? Kupambana na makamanda bila kutumia akili