Wapi palipo na huduma nzuri za kliniki kwa wajawaziyo mkoa wa Mwanza?

Wapi palipo na huduma nzuri za kliniki kwa wajawaziyo mkoa wa Mwanza?

IsaacMG

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
91
Reaction score
124
Habari wana Jf, mke wangu ana ujauzito wa wiki nane Kwa mjini wa ultrasound, ila amekuwa akipitia kipindi kigumu Sana ikiwemo tumbo kuuma sana Jambo ambalo naona kuwa linaweza kuwa hatari kwake.

Sasa nilikuwa naomba kufahamishwa hospital inayotoa huduma nzuri ya klinic kwa wajazimzito pamoja na uchunguzi wa kina Kwa hapa MWANZA.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda Mwanza hospital ipo mtaa wa rufiji karibu na Pigeon Hotel
 
Back
Top Bottom