Wapi pazuri kwa graduate

Wapi pazuri kwa graduate

Kama ni mtu unayependa kufanya mazoezi nenda jeshini. Kwa level yako ya elimu, baada ya mafunzo utaenda cadet na kurudi na jiwe moja. Baada ya miezi sita unapigwa jiwe la pili. Hautakuwa sawa na wenye VUMILIA VUMILIA VUMBI (V moja mpaka tatu). Kula bata jeshini mwana.
 
Nina degree ya law,nimepata kazi ya Afisa mtendaji kata II, salary TGS D, pia leo nimepigiwa simu nikajiunge na JWTZ kwa kupitia JKT kwanza 6 month, naomba ushauri wapi pazuri zaidi. ile afisa mtendaji nimeripoti nikasign contract ila nkambiwa nirudi home hela ikitoka wataniita kuanza kazi, ila mpaka sasa nahesabika niko kazini.

Wewe uliposoma law lengo lako lilikuwa ni nini hasa? Je ulikuwa una mawazo au kupenda kufanya kazi Jeshini tangu mwanzo?
 
wewe uliomba kama graduate au? kama graduate haupitii jkt unaenda jwtz mojakwamoja na uschezee hiyo nafasi cos hutateseka kama wanavyokuambia kama uliomba kama mtu wa kawaida halafu hiyo degree yako ukaoneshe baadae uvumulivu unatakiwa best la sivyo utakimbia kwa baadae ndio utaona matunda yake
 
Mkuu endelea kuwapigia mihuri ya mikopo wananchi wako!
 
jamani geshi sio pakukimbilia!nani kakuambia ukiingia jwtz unaweza kumaliza kozi zao nakuvaa hizo nyota?kumbuka,kwenye mafunzo hufukuzwa kwa sababu mbalimbali kama kukosa nidhamu,ushirikiano,kufli mitihani,kuchelewa kurudi n.k!bora hiyo,noma ukivunjika unarudi zako nyumbani na inabidi uanze upyaaaa tena ukiwa mlemavu!!kama utajiunga,jitoe kufanikiwa ama kutokufanikiwa
 
Back
Top Bottom