kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,058
- 689
maadhimisho ya MUUNGANO siku ya leo ilifaa kuwa nafasi nzuri sana waanamuziki wa bongo kuonesha mshikamano. Haiingii akilini ati Prof.J na Jide wawe watu wa kukosa ktk wimbo wa pamoja uloimbwa na wanamuziki wapatao 50 leo ktk maadhimisho.
Mtu anaweza kunijbu kwa hoja ya kuwa si lazima wote washiriki, lakini jibu ni jepesi sana kuwa hao ni true legends ktk bongo music na wakifanyacho ni zaidi ya music kuliko watoto waliowekwa leo.
Bongo music industry itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa vile tu wapuuzi wachache wameshika mpini na kuwaendesha wasiojitambua. Taswira ya hili imejidhihirisha kwa uwingi wa wasanii ktk sherehe hizi waliopitia mikononi mwao wasiokua(THT)WANAMUZIKI.
Chuki wekeni pembeni maslahi yaendane na jasho wavujalo wanamuziki ili bongo nasie tujivunie kutengeneza wanamuziki watakao uzika kimataifa.
Nawasilisha.........