Wapi Prof.J na Lady J.Dee siku ya muungano? Au hawa si legends wa bongo music?

Wapi Prof.J na Lady J.Dee siku ya muungano? Au hawa si legends wa bongo music?

Tht?runge?wezi walioshindikana wanaojificha kwenye kivuli cha ccm
 
maadhimisho ya MUUNGANO siku ya leo ilifaa kuwa nafasi nzuri sana waanamuziki wa bongo kuonesha mshikamano. Haiingii akilini ati Prof.J na Jide wawe watu wa kukosa ktk wimbo wa pamoja uloimbwa na wanamuziki wapatao 50 leo ktk maadhimisho.

Mtu anaweza kunijbu kwa hoja ya kuwa si lazima wote washiriki, lakini jibu ni jepesi sana kuwa hao ni true legends ktk bongo music na wakifanyacho ni zaidi ya music kuliko watoto waliowekwa leo.

Bongo music industry itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa vile tu wapuuzi wachache wameshika mpini na kuwaendesha wasiojitambua. Taswira ya hili imejidhihirisha kwa uwingi wa wasanii ktk sherehe hizi waliopitia mikononi mwao wasiokua(THT)WANAMUZIKI.

Chuki wekeni pembeni maslahi yaendane na jasho wavujalo wanamuziki ili bongo nasie tujivunie kutengeneza wanamuziki watakao uzika kimataifa.

Nawasilisha.........
Jide alikuwa Nyumbani Lounge anafanya mazoezi na Machozi Band.
 
Kimtazamo wangu cjaona cha kumlaumu Ruge ila mm naona ni uzembe wa wasanii kutokuwa na creativity ya kutafuta opportunity au fursa kama zile, kutokana na kila mwaka kuna maadhimisho ya muungano au uhuru but hakuna anauyejishighulisha kutunga hata wimbo wa uhuru ama muungano sasa inapokuja mtu kaona fursa kama ile ameichukua ndipo unaanza kuona watu wanaanza kulalamika kwa walichokifanya leo nimependa sana.

Asilimia mia nakubaliana nawe wasanii wetu wana fikra tegemezi na hali hii imegeuka fursa kwa akina ruge as wasanii wamekubali kuwa hawawezi bila ruge. Lakini ruge pia amejigeuza Mungu thats why wengi walioamka kifikra kuwa wanaweza simama bila yeye anawatengenezea mizengwe kibao kupitia media.
 
tatizo wasanii weng tegemezi no creativity Ruge anawatumia kujineemesha wao umaskin pale pale hafu nyimbo yenyewe waliyoimba haikupangiliwa labda ya helo Tanzania
 
Ruge kapiga mpunga wa kutosha kwenye huu wimbo wa hellow Tanzania!!

Jay na Jide wanajitambua hawawezi enda kufanya ujinga wa kuungua jua kali pale taifa zeni,account ya ruge iweze kuadd zero za kutosha mbele
 
Uwepo wa
Diamond
Dully
Ommy
Kopa
Mpoto
Fa
Kitine
Mbasha
Shusho
Roma
Ni ishara ya muungano kamili
Hao wengne wanamisimamo yao kwa maslah yao ndo maana hata kwenye account zao za insta hakuna alieongelea issue ya muungano


Sent from my iPhone using JamiiForums.
hapo wasanii wangapi wanatokea znz ili niamini ni muungano
 
At
Kopa
Baby J
Wote wazanzibar hao unalingne mkuu?


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mkuu kumbuka hujafa hujaumbika njaa zako zisikufanye hata ubongo uwe mweupe
Jay yuko bize kutibu ugonjwa wake sugu, jide yuko bize kutafuta mimba si unajua ni mwaka wa 39 sasa anaitafuta? Wote wana stress hao
 
Jay yuko bize kutibu ugonjwa wake sugu, jide yuko bize kutafuta mimba si unajua ni mwaka wa 39 sasa anaitafuta? Wote wana stress hao

Jay kasema waliosema anangoma wengi wamezikwa lakini yeye bado anadunda .

Kipi sijasikia hata nikinywa maji mnatangaza nimekunywa Pombe.
 
Jay kasema waliosema anangoma wengi wamezikwa lakini yeye bado anadunda .

Kipi sijasikia hata nikinywa maji mnatangaza nimekunywa Pombe.

Ndo akili za kuambiwa uchanganye na zako. Angesema nimepima ngoma na nimejikuta niko salama hapo angeeleweka vzr sana lkn eti bado nadunda??
 
Back
Top Bottom