Wapi Prof.J na Lady J.Dee siku ya muungano? Au hawa si legends wa bongo music?

kandukamo1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
1,058
Reaction score
689
maadhimisho ya MUUNGANO siku ya leo ilifaa kuwa nafasi nzuri sana waanamuziki wa bongo kuonesha mshikamano. Haiingii akilini ati Prof.J na Jide wawe watu wa kukosa ktk wimbo wa pamoja uloimbwa na wanamuziki wapatao 50 leo ktk maadhimisho.

Mtu anaweza kunijbu kwa hoja ya kuwa si lazima wote washiriki, lakini jibu ni jepesi sana kuwa hao ni true legends ktk bongo music na wakifanyacho ni zaidi ya music kuliko watoto waliowekwa leo.

Bongo music industry itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa vile tu wapuuzi wachache wameshika mpini na kuwaendesha wasiojitambua. Taswira ya hili imejidhihirisha kwa uwingi wa wasanii ktk sherehe hizi waliopitia mikononi mwao wasiokua(THT)WANAMUZIKI.

Chuki wekeni pembeni maslahi yaendane na jasho wavujalo wanamuziki ili bongo nasie tujivunie kutengeneza wanamuziki watakao uzika kimataifa.

Nawasilisha.........
 
kwani ni lazima wawepo wote acha kuhoji ujinga kwani wanapata nini pale mpaka unaweka ? Mark
 
kwani ni lazima wawepo wote acha kuhoji ujinga kwani wanapata nini pale mpaka unaweka ? Mark

Ndio maana nimekili kuwa si lazima wote waingie,lakini jaribu kupima uzito ktk hip-hop young killer na prof.j unadhani wako sawia?
 
Mchongo wa rugs huo atamweka vp jide....ccm always wakitaka wasanii huwa wanamtafute ruge coz jamaa anajua kujipendekeza hta ile ishu ya ujio wa marais ambambo billion 8 zilitafunwa tht nao wqlikuwepo na walilipwa mil 150 just imagine zile sarakasi zisozozid hta nusu saa watu wakala mil 150 chezea ccm wewe!! We huoni clouds walikuw wanakomaa na lile tangazo la uzalendo walikuwa wanalia timing matukio km hya wapewe priority
 
Uwepo wa
Diamond
Dully
Ommy
Kopa
Mpoto
Fa
Kitine
Mbasha
Shusho
Roma
Ni ishara ya muungano kamili
Hao wengne wanamisimamo yao kwa maslah yao ndo maana hata kwenye account zao za insta hakuna alieongelea issue ya muungano


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

Hawa wapuuzi wanaharibu sana bongo music as artists wengi vichwani zero,thats why wanageuzwa kondom na baada kitambo fupi wanageuka historia.
 
Haa haa pole kandukamø yaani ulilolisema wamerudia hilo hilo wabongo ni wagum wa kuelewa sana
Ndio maana nimekili kuwa si lazima wote waingie,lakini jaribu kupima uzito ktk hip-hop young killer na prof.j unadhani wako sawia?
 
Ndio maana nimekili kuwa si lazima wote waingie,lakini jaribu kupima uzito ktk hip-hop young killer na prof.j unadhani wako sawia?

kwahiyo ulitaka waende wakubwa tu? kwani wachanga kama young killer hawataki ku shine? you mean the rich should get richer, and the poor get poorer...
 
Wasanii ni wale wale wa kamata fursa twendezetu, kumbuka Ruge ndo mtu wao kwenye maswala ya burudani. Kama unakumbuka mwaka jana raisi walipowaita ikulu kufuturu sura zilikua zile zile. Ruge anajipendekeza kwa Raisi apate michongo mikubwa na ulinzi kwenye biashara zake, wasanii wanajipendekeza kwa Ruge wapate promo+shows na michongo.
 
Ruge kashatengeneza chake waakina Amin acha waendelee kuishi kwao msufini huko.
 
kwahiyo ulitaka waende wakubwa tu? kwani wachanga kama young killer hawataki ku shine? you mean the rich should get richer, and the poor get poorer...

Hiyo si maana yangu. Ujue pale uwanjani kuna artists wamejitambulisha nimebakiwa na bumbuwazi as leo ndo first time nawaona and nao wamejitanabahisha ni wasanii.
 
Wanataka serikalii tatu ndio maana wamezimishwaaa maana hawataki kufata amri za maboss
 
Jay yuko bize kutibu ugonjwa wake sugu, jide yuko bize kutafuta mimba si unajua ni mwaka wa 39 sasa anaitafuta? Wote wana stress hao
 
Siasa hasa za CCM zimeharibu kila kitu Nchi hii ...

Imegawa ..Bongo fleva,Bongo movie,Soka ,Waandishi wa habari,Walimu,Madaktari,Dini...nk

Tutegemee Sanaa kuporomoka siku hadi siku..

Kama leo walicholipwa ni kidogo lakini katika fungu Walilotengewa pochi ya Ruge leo imenona..

Jide,prof J ,Afande sele ,Juma Nature ...nk hao Wanajitambua..
 
Kimtazamo wangu cjaona cha kumlaumu Ruge ila mm naona ni uzembe wa wasanii kutokuwa na creativity ya kutafuta opportunity au fursa kama zile, kutokana na kila mwaka kuna maadhimisho ya muungano au uhuru but hakuna anauyejishighulisha kutunga hata wimbo wa uhuru ama muungano sasa inapokuja mtu kaona fursa kama ile ameichukua ndipo unaanza kuona watu wanaanza kulalamika kwa walichokifanya leo nimependa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…