Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Wanataka serikalii tatu ndio maana wamezimishwaaa maana hawataki kufata amri za maboss
Jide alikuwa Nyumbani Lounge anafanya mazoezi na Machozi Band.maadhimisho ya MUUNGANO siku ya leo ilifaa kuwa nafasi nzuri sana waanamuziki wa bongo kuonesha mshikamano. Haiingii akilini ati Prof.J na Jide wawe watu wa kukosa ktk wimbo wa pamoja uloimbwa na wanamuziki wapatao 50 leo ktk maadhimisho.
Mtu anaweza kunijbu kwa hoja ya kuwa si lazima wote washiriki, lakini jibu ni jepesi sana kuwa hao ni true legends ktk bongo music na wakifanyacho ni zaidi ya music kuliko watoto waliowekwa leo.
Bongo music industry itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa vile tu wapuuzi wachache wameshika mpini na kuwaendesha wasiojitambua. Taswira ya hili imejidhihirisha kwa uwingi wa wasanii ktk sherehe hizi waliopitia mikononi mwao wasiokua(THT)WANAMUZIKI.
Chuki wekeni pembeni maslahi yaendane na jasho wavujalo wanamuziki ili bongo nasie tujivunie kutengeneza wanamuziki watakao uzika kimataifa.
Nawasilisha.........
kwahiyo ulitaka waende wakubwa tu? kwani wachanga kama young killer hawataki ku shine? you mean the rich should get richer, and the poor get poorer...
Jay yuko bize kutibu ugonjwa wake sugu, jide yuko bize kutafuta mimba si unajua ni mwaka wa 39 sasa anaitafuta? Wote wana stress hao
Kimtazamo wangu cjaona cha kumlaumu Ruge ila mm naona ni uzembe wa wasanii kutokuwa na creativity ya kutafuta opportunity au fursa kama zile, kutokana na kila mwaka kuna maadhimisho ya muungano au uhuru but hakuna anauyejishighulisha kutunga hata wimbo wa uhuru ama muungano sasa inapokuja mtu kaona fursa kama ile ameichukua ndipo unaanza kuona watu wanaanza kulalamika kwa walichokifanya leo nimependa sana.
hapo wasanii wangapi wanatokea znz ili niamini ni muunganoUwepo wa
Diamond
Dully
Ommy
Kopa
Mpoto
Fa
Kitine
Mbasha
Shusho
Roma
Ni ishara ya muungano kamili
Hao wengne wanamisimamo yao kwa maslah yao ndo maana hata kwenye account zao za insta hakuna alieongelea issue ya muungano
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Wewe ngoma mpya ya jay kipi sijasikia inakuhusu sana.
Jay yuko bize kutibu ugonjwa wake sugu, jide yuko bize kutafuta mimba si unajua ni mwaka wa 39 sasa anaitafuta? Wote wana stress hao
kwani jay ana ugonjwa gani
Jay yuko bize kutibu ugonjwa wake sugu, jide yuko bize kutafuta mimba si unajua ni mwaka wa 39 sasa anaitafuta? Wote wana stress hao
Jay kasema waliosema anangoma wengi wamezikwa lakini yeye bado anadunda .
Kipi sijasikia hata nikinywa maji mnatangaza nimekunywa Pombe.