Wapi Rachel A Temu??

Status
Not open for further replies.

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
huyu binti ni mdogo wake na Hoyce Temu.......mashalaah mtoto huyu kuna kipindi alivuma sana mjini hasa kwa sifa ya shepu na umbo lake matratraa............naomba kujuzwa yupo api siku izi.......nakumbuka mara ya mwisho alikua na beef with Mange Kimambi......aliwahi kua miss arusha kama sikosei......mwenye habari zake namtafuta
 
yeleuwiiiiiiiiiii hicho kiumbe kipo????
 
Huyu Rachel amekua nikimuona mitaa iliyonikuza Fire Arusha.Niliwahi kumuona maeneo fulani hivi akanipotezea kiaina while nilikuwa big brother wake kitaa!!
 
Huyu Demu hajawahi kufanya kazi kwenye Mabasi ya Mikoa ya Kaskazini miaka ya nyuma kidogo yaliitwa Royal Coach kama sikosei.Nilipanda kama mara 4 nayapenda sana Meno yake.Pia kalisoma A-level Makongo sijui??
 
kwani ulitaka kumwambia nin,au ndo nyie wazee wa kupga mizinga?

Duh! Asante,nimeishi miaka mingi kama nyumba tano tu kufika kwao pale Fire Arusha hivyo sidhani kama hiyo si sababu tosha kufahamiana!
 
Ameenda milembe hsopital kutafuta dawa zake . Naskia alitimua toka pande hizo
 
Huyu Demu hajawahi kufanya kazi kwenye Mabasi ya Mikoa ya Kaskazini miaka ya nyuma kidogo yaliitwa Royal Coach kama sikosei.Nilipanda kama mara 4 nayapenda sana Meno yake.Pia kalisoma A-level Makongo sijui??

alimalima makongo huyu, alikuwa friend wa marehemu amina chifupa, nilikuwa namkubali sana maana alikuwa charming, ingawa nilikuwa kd cha 3 nadhani nilizoeana nae vizuri tu
 
Huyu Demu hajawahi kufanya kazi kwenye Mabasi ya Mikoa ya Kaskazini miaka ya nyuma kidogo yaliitwa Royal Coach kama sikosei.Nilipanda kama mara 4 nayapenda sana Meno yake.Pia kalisoma A-level Makongo sijui??

alimalima makongo huyu, alikuwa friend wa marehemu amina chifupa, nilikuwa namkubali sana maana alikuwa charming, ingawa nilikuwa kd cha 3 nadhani nilizoeana nae vizuri tu,
hiyo ya rolay sina uhakika
 
Hivi kwa nini watu wanatukanana hivi duh !!
 
By Mange Kimambi
 
Duh! Asante,nimeishi miaka mingi kama nyumba tano tu kufika kwao pale Fire Arusha hivyo sidhani kama hiyo si sababu tosha kufahamiana!

Kumbe na wewe ni mtoto wa line police........
 
Tuondoleeni uchuro wenu hapa, kutukopia mambo yao waliyogombana ndio nini bwana
 
Nimesoma hata nusu ya maelezo sikufika nikaona nipite tu.
 
Mtoa mada unalako jambo..kama sio shabiki wa Mange kimambi muke ya muzungu...mamaa akitekti...mamaaa maisha bora!!!

Mtafute Hoyce kwenye web yake ni rahis kumpata Rachel au msearch fb,..
Ukimuweka hapa ' Atasalimika kweli????????
Esp kipindi hiki... Hmmm
 
Hata mimi nimestuka, huyu ametumwa au ni mamaa ya maisha bora a.k.a wengine wote walala hoi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…