Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
utasutwa weweKumbe rafize wanamjua Mange anaiogopa Jf ! Hii imenifurahisha sana . Kweli mambo ya kina bidada wa kileo ni kuwaachia wenyewe ...huwa nikitaka kuondoa msongo wa mawazo napita jukwaa hili ,hapakosekani jambo .