Wapi Rachel A Temu??

Wapi Rachel A Temu??

Status
Not open for further replies.
Kumbe rafize wanamjua Mange anaiogopa Jf ! Hii imenifurahisha sana . Kweli mambo ya kina bidada wa kileo ni kuwaachia wenyewe ...huwa nikitaka kuondoa msongo wa mawazo napita jukwaa hili ,hapakosekani jambo .
utasutwa wewe
 
madame unajua sio lazima upendwe na watu wote sijaona kosa lake ...labda hayo matusi ya kutukana naona group lake wote wanatukanana sio kama anatukana peke yake 😛ray2:

manje ndo nani? ama ndo wewe
 
nililuliza wapi rachel A Temu naona mmeniletea umbea wa Mange blogu......mwacheni dada wa watu kama ni maisha kayapatia..maisha sio kuwa na hela maisha ni kutumia hela na ikuzoeee..wangap mnahela mnakufa nazo benk....naombeni habari za Rachel A Temu...yuko wapi na anafanya nini kwa sasa..inanihusu
 
nilipatie wapi ndugu naona wamedeviate kumshambulia mange the great........muke ya muzungu...thread inahusu habar za Rachel A Temu...mange mukimuhitaji mumuanzishie jithread

Who is mange by the way....?? we nawe unaanza kuharibu hali ya hewa......Rachel temu mfwate facebook amejaa tele, kama vip[i muinbox
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom