jirani na kwa kina Masatu! nimwesoma NauraNimezaliwa line za mabatini Mwanza nimekulia line za Fire Arusha! Kwa hiyo ni mtoto wa line pure!! Shule ya msingi nimesoma Themi Pr School upo hapo Preta?
Huwa nikiona thread inamzungumzia Mange halafu quotation zake zikawekwa naburudika sana, kumbe Mange ni msomi na tajiri !Tanzania ina vioja zaidi ya maajabu saba ya dUNIA
Mwakalinga haya mabifu ya kina dada waachie wenyewe
Mie baada ya kuona wanamchambua sana huyo Mange JF ilibidi nianze uchunguzi wangu Binafsi na kujiuliza who is Mange
Nilichogundua ..Huyu dada hajawahi kujisifia kama yeye ni tajiri sema ana Blog yake ambayo kaamua mwenyewe kuweka maisha yake huko sijamlaumu kwa sababu Blog ni yake anafanya anavyojisikia mradi havunji sheria .pia navyoona hapo nyuma alikuwa na group la mashoga kibao sijui ndo maisha gani hayo wamegombana .ndio hizo kasheshe zikaanza
Pia niliingia Blog moja nikakuta wengine wanamwambia Ngoja tukakuweke JF ndo ukome
Kumbe wengine kati ya mashoga zake ni memba hapa....:coffee:
Kweli Ushoga kazi hahaha

Mhhh mbona na wewe kama unamjua sana tu....inonekana wewe ni mtu wa karibu sana na Mange....l, jaman tufanyeni kazi tuache majungu mjini hapa.
Mwakalinga haya mabifu ya kina dada waachie wenyewe
Mie baada ya kuona wanamchambua sana huyo Mange JF ilibidi nianze uchunguzi wangu Binafsi na kujiuliza who is Mange
Nilichogundua ..Huyu dada hajawahi kujisifia kama yeye ni tajiri sema ana Blog yake ambayo kaamua mwenyewe kuweka maisha yake huko sijamlaumu kwa sababu Blog ni yake anafanya anavyojisikia mradi havunji sheria .pia navyoona hapo nyuma alikuwa na group la mashoga kibao sijui ndo maisha gani hayo wamegombana .ndio hizo kasheshe zikaanza
Pia niliingia Blog moja nikakuta wengine wanamwambia Ngoja tukakuweke JF ndo ukome
Kumbe wengine kati ya mashoga zake ni memba hapa....:coffee:
Kweli Ushoga kazi hahaha
Pole sana ndio maana tukaambia JF ni kijiwe cha Great Thinker kabla hujatoa conclusion kuhusu mtu ,taarifa au habari fulani chunguza kwanza hivyo basi sina haja ya kutoa maelezo kama niko karibu na huyo dada au lah
have great one Mrembo by Nature :gossip:
Hahahaha my dear nimesema kwa uzuri tu lakini (katika hali ya utani flani)
Hivi unajua kwamba hako ka Recho kamo humu kwenye hii hii sredi? Hujajua kanatumia ID gani?
Unajua mie sio CIA na pia sina ujuzi na network security kwamba ningeweza kumtrace..... vipi wewe imekuwaje umehisi hivyo mkuu?
Sihisi mimi. Najua ila siwezi kuzianika hapa mbinu zangu za kijasusi zilizoniwezesha kujua.
Mkuu mbinu zako zimefail, rachel anavyotukana matusi makubwa angekuwa hapa si angekuwa ashachafua hewa....mdada hanaga simile yule akiguswa engo zake.
Ahahahaa daah! Yupo hapa na niamini ninachokisema.
Na kama uko observant basi utakuwa unajua ni ID gani ambayo huwa ikiguswa inalipuka kama pipe-bomb halafu inaishia kupewa ban.
Hebu jaribu kui-scan tena hii sredi huenda unaweza ukapata clue ni yupi kati ya wote waliochangia hapa ni yeye.
wewe nawe utakuwa ndio mmojawapo mnamshadadia na kumpaisha bichwa huyo mange,unachosema havunji sheria una uhakika??eti kaamua kuweka maisha yake mwenyewe,hivi unadhani nani angemfuata kisa kaendesha sijui nini au kaenda kwenye expensive hotel???mashoga kuachana nao ni funga dimba kiukweli amereign four years katukana wadada,wakaka na watoto...hii nikama kumrudishia km anavyotumia blog yake kuumiza watu...pole team mange,huku hatukutaki ulimtukana hadi muanzilishaji wa hii forum maxence melo hasa utasema na yeye alikuwa shoga yake?mnh
Hahahaha my dear nimesema kwa uzuri tu lakini (katika hali ya utani flani)
don't worry Mrembo by nature ..wala mwenyewe siko searious nisijepata BP