Ha ha ha Haa. Ameamua kupiga kitwanga
Anakunywa Mbege tu huku mjini kaacha Movie
Kwani kunywa mbege ni dhambi jamani?Ahaaa jamani, anakunywa mbege na kucheza movie zote hizo bado hajajikwamua tu
Sielewi mkuu Ila nashamgaa watu wamechukulia mbege kama kinywaji cha chini. Sana wakati sisi wengine ndo asili yetuSio dhambi, kwani huyo jamaa anatoka mkoa gani?
Ni mangi half blood mkuuAhaaa kumbe we mangi, safi sana, mbege sio tatzo mkuu, iko poa tu kwa sana.
Hata hivyo hakua mtu wa ngumi sema promo zilimbeba sana!Ha ha ha Haa. Ameamua kupiga kitwanga
Namaanisha sio mchaga pure mkuu, ni upande wa mama tuHalf blood na kabila gani mkuu
Hana ajualo huyo mtoto chasaka!Ok sawa mkuu, vipi wanawake wa kichaga wanafaa kuweka ndani?
Mwanamke yeyote regardless of her ethnic background, anafaa kuweka ndani as long as anakidhi vigezo vya kua mwanamke wa kuweka ndani. Siku hizi mkuu yaan makabila hayamati kivile maana hata Yale makabila ambayo yanaonekana watu wanaojiheshimu siku hizi wapo ambao wamevurugwa among them. La msingi ni kumwomba tu Mungu mkuu hili upate Mke mwema!Ok sawa mkuu, vipi wanawake wa kichaga wanafaa kuweka ndani?
I guess alinizaa mkuuTehetehe kumbe mtoto,
Zingeuza kama wangekuwa serious kama Jplus!Duh! Lakini yuko poa kwenye mkono, sema tu hapa bongo movie hazilipi kiivo
Sema kwa muonekano tu Jimmy anajielewa yuko serious na michongo yake kuliko seba, ndo maana seba akicheza movie haitikisi kama za jplus japo na yeye siku hizi kadorolaZingeuza kama wangekuwa serious kama Jplus!
Tatizo wana act movie na kujiona as if they are fully known everywhere kumbe hata ilihitaji kutoka nje ya box!!
Tangu lini boxer anaruhusu kutupiwa ngumi kizembe kama jinsi alivyodanganywa seba kwenye movie yake na jplus?!