Wapi Sebastian Mwanangulo...

Huo mtihani ila ni rahisi sana kama Mungu atachukua nafasi
 
Mkuu siku ukitaka mke mwema niambie nikuletee mke mzuri msukuma mwenye adabu na mchapakazi siyo hawa wachagga wabnafsi!
 
Sema kwa muonekano tu Jimmy anajielewa yuko serious na michongo yake kuliko seba, ndo maana seba akicheza movie haitikisi kama za jplus japo na yeye siku hizi kadorola
Mkuu tatizo lao hawaendani na huu muda tulio nao!
Jplus alifaa kuendelea na movie za conspirancy sema alivoona uswazi kachuja akaamua kujizamisha!!
 
Mkuu siku ukitaka mke mwema niambie nikuletee mke mzuri msukuma mwenye adabu na mchapakazi siyo hawa wachagga wabnafsi!
Mkuu Mimi mwenyewe upande wa baba natokea Magu nyaguge
 
Mkuu siku ukitaka mke mwema niambie nikuletee mke mzuri msukuma mwenye adabu na mchapakazi siyo hawa wachagga wabnafsi!
Wasukuma wa pande zipi wako poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…