Leo ni tarehe ambayo wizara ya afya walipanga kuanza muhula kwa kozi za Certificate na Diploma kwa mujibu wa form zao za application. cha kushangaza mpaka sasa hata hizo selection zenyewe hazijatoka. kwali tangazo hilo lilitoka ndani ya wizara au mtu binafsi, alijikalia na kupanga mwenyewe? kwanini hakuna hata tangazo lolote kwenye web yao kuonyesha mabadiliko hayo. nimechukia! kumbe ndiyo maana hamna msimamo eeee