Wapi Simba na Yanga walipo achana?

Wewe utakuwa ni kigwangwala wa mabwepande. Wewe ulitaka simba ndani ya miaka miwili iwe sawa na Al ahal? au Tp mazembe? Maendeleo. ni mchakato na kwa simba gari ndiyo imewaka hivyo. Nyie endeleeni kutimua makocha maana hayo ndiyo mnayoyaweza
 
Huu uzi umeandikwa na mtu mkubwa tu huko Yanga. Uzuri mambo ya Simba yapo hadharani. ndani na nje ya uwanja. Yanga ilijaribu kuwalaghai watu wake kuwa wapo vizuri,kilichowapata kiko waaaazi
 
Umemjibu vizuri huyo [emoji196][emoji196] wa kidimbwi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Katika soka la kisiasa, timu humilikiwa na mtu mmoja mwenye hisa nyingi. Ndiye anayefaidika zaidi na mapata. Wengine wanabaki kufurahia burudani ya mpira!
 
Hakuna shabiki yoyote anaelipwa mshahara na team yake dunian ,mi nashabikia Barcelona na Simba


Malipo ya shabiki ni Furaha na mtakaso wa moyo ambao tunapata pale team inapopata matokeo chanya uwanjan ,,ko nyie yanga endeleen kujivuruga na kutuombea mabaya ila sisi team yetu inajua kutulipa mpaka mnatafuta pa kupumulia
 
Eti wachezaji hawafikii thamani ya millioni 600




Kaangalie makundi kwanza afu mtafute shabiki wa al ahly muulize akukadirie thamani ya wachezaji wa simba yeye kama yeye......

Thamani y mchezaji haina pointi saana ila inategemea na kiwango anachoonyesha katika mechi iliyopo kwa wakati huo

Hata akiwa wa bure lakini mechi ikaisha ana hattrick hakuna atakaeuliza sanasana watamsifia .....
Wee kaa hapo na hilo kopo unaloliita kichwa ukispeculate thamani za wachezaji wakati watu wanaperform vizuri


Utopolo bwana
Uwanja ulikuepo eti yeye kaumalizia....
Sasa ulitaka mo ili aonekane amefanya kitu chake mwnyw ajenge mwingine mpya na wakati kuna wa kuendeleza na kuukarabati umaliziwe tu haraka???

Mtupe basi kiwanja jangwani hapo tulete simba queens muwe mnacheza nao

Umeongea pumb sana hadi nmewaza vibaya huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…