Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.
Upo wapi mkuu? Makambako au ilula? Kama una nyanya peleka bagamoyo fasta
peleka uganda.Nipo Ngara-Kagera.
Ndio msimu wako wa kwanza kulima ? Kabla ya hapo ulikuwa unapeleka wapi, na bei ya soko huko ikoje ?Nipo Ngara-Kagera.
peleka uganda.
kwani siku hizi hamlimi ndizi za bukoba...............?
Ndio msimu wako wa kwanza kulima ? Kabla ya hapo ulikuwa unapeleka wapi, na bei ya soko huko ikoje ?
Kwa ushauri kama hautapata soko in time jaribu kufanya research ya kusindika, na kutengeneza vitu kama sauce.
Hivi Ngara si mpo karibu na Rwanda ?, nadhani huku kuna wafanyabiashara wengi wanasindika sana mazao jaribu kuulizia na pande hizo au kuna vikwazo vya kuuza nje ya nchi ?Kuna jamaa walikuwa wanakuja kununua,sasa hivi wameshusha bei ndiyo maana mimi nimeona niulizie sehemu ambako soko ni zuri.
Hivi Ngara si mpo karibu na Rwanda ?, nadhani huku kuna wafanyabiashara wengi wanasindika sana mazao jaribu kuulizia na pande hizo au kuna vikwazo vya kuuza nje ya nchi ?
hivi kwanini bei ya nyanya imeshuka gafla
hivi kwanini bei ya nyanya imeshuka gafla
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.