Wapi soko la nyanya?

Wapi soko la nyanya?

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.
 
Nipo Ngara-Kagera.
Ndio msimu wako wa kwanza kulima ? Kabla ya hapo ulikuwa unapeleka wapi, na bei ya soko huko ikoje ?

Kwa ushauri kama hautapata soko in time jaribu kufanya research ya kusindika, na kutengeneza vitu kama sauce.
 
peleka uganda.
kwani siku hizi hamlimi ndizi za bukoba...............?

Kupeleka Uganda na sawa!,lkn mpaka research kwanza.Na kuhusu ndizi sasa hivi zipo chache sana Ugonjwa wa mnyauko uliimaliza.
 
Ndio msimu wako wa kwanza kulima ? Kabla ya hapo ulikuwa unapeleka wapi, na bei ya soko huko ikoje ?

Kwa ushauri kama hautapata soko in time jaribu kufanya research ya kusindika, na kutengeneza vitu kama sauce.

Kuna jamaa walikuwa wanakuja kununua,sasa hivi wameshusha bei ndiyo maana mimi nimeona niulizie sehemu ambako soko ni zuri.
 
Hivi Ngara si mpo karibu na Rwanda ?, nadhani huku kuna wafanyabiashara wengi wanasindika sana mazao jaribu kuulizia na pande hizo au kuna vikwazo vya kuuza nje ya nchi ?
 
Ngoja nifuatilie huko nione km nitafanikiwa.
 
Back
Top Bottom