Wapi tuition ya Physics A level Dar? mdogo wangu analia sana

Wapi tuition ya Physics A level Dar? mdogo wangu analia sana

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Wapi ntapata mwalimu mzuri wa physics A level kwa bei nafuuu? Awe vizuri sana kwenye hilo somo
Dogo yupo Dar
 
Aende Mchikichini atamkuta Moddy au Victoria academy kariakoo atamkuta Mgote.
 
Jangwani galz kuna waalimu wazuri sana sema dogo anatakiwa tu atambue kilichompeleka huko!!!
 
walimu wa physics wazuri ni mudy na mtiga,side nin mzuri ila kichwa chako lazima kiwe kizima,kama ni slow learner aende kwa mudy ataelewa vizuri.
 
Back
Top Bottom