Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
Habari ndugu mwanajamvi wa JF,..matumaini tu wazima na tunaendelea kuhangaika katika kutafuta mkate wetu wa kila siku (japo tuliomba atupe ila kumbe sio kupewa ni kuutafuta kwa nguvu nyingi jasho na hata damu)
Back to the topic, (Tatizo ni wananchi au wenye nchi???) Na je ni nani mwenye nchi kati ya mwananchi na Raia??
Juzi tu hapa kabla ya kijiti kuhama na mwendazake kutangulizwa mbele ya haki (Anaetumiliki ajua amaliza vipi siku zetu) maisha walau yalikuwa na nafuu kwa kipato tunachokipata... Mana hakijaongezeka kipo palepale lakini gharama ya maisha imekuwa kwa almost 200% ..
Vitu vyote bei juu (huku tunafanyiana maigizo kama yale ya discount za kwenye super market, unapandisha kwa 2,000 shwaaaaa halafu unapunguza 500 vuuuuu basi utaskia bei zimeshuka...
Tufikirie na tupeane mawazo hapa na mtazamo kama hutajali kwa wapi tunaelekea... Tazama :
1. Bei za vyakula... Mchele sasa mpaka 4,000 wakati ni juzi tu ulikuwa 1,400 mpaka 2,800 (vipi Bashe)
2. Masuala mazima ya hata internet (Gb 1.ilikuwa ni 600 lakini sasa hivi ni 2,000 na bado ile Cost/second imepandishwa .. Gb 1 nusu saa kubwa kwa simu na hapo una surf tu. (Nape huyo)
3. Kodi...kila mahali tunapigwa kodi kubwa mpaka kuna muda maamuzi tu ya kuset bei za bidhaa tunaona aibu.. Sawa bila kodi serikali haiendi ila hizi za kujaza mifuko ya watu ndio tatizo.. mzigo mzima wa kodi unakuangukia wewe mwananchi jua hilo jiongeze... Mfanyabiashara ye ikipanda anaitia kwa bei anakutupia wewe.. TII ARA EI
4. Nauli... nauliz juu hata 1000 nilokua naenda mihangaikoni na kurudi nkipata na maji ya kandoro mawili sahivi hola ..nkizubaa hata kufika uwanjani na hiyo 1000 nakwama... Asee.. Japoafuta wamecheza vile wanavyochezaga... 1000 kwa 100
Hivi ni vichache mno, ila kila mahali ni pamoto pamepanda sijawataja ndugu zangu ...(beer ,sigara na yale maji makali wote wepandishiwa.. hadi light beer zimepanfa sio 1500 tena ni 1800 bei za mtaani.. sigara 300 sio 150 tena.. tabu ipo..
Je tutaweza kumudu maisha sisi wa hali ya chini baada ya miaka michache ijayo?? Unapaonaje mbele? Tufanye nini shiriki mtazamo wako..hapa .
RobbinSon Crusso.
Shukrani.