Tatizo kubwa ni uongozi TFF wanaokotana, kama FAT ya kina El maamry ilikuwa na basi , TFF ya sasa hivi inapata ruzuku kubwa toka FIFA lakini badala ya kuitumia kuboresha soka wanaitumia kugawana ulaji.
Mkurugenzi wa ufundi sijui walitumia vigezo gani kumpa oazi, Jamhuri kiwelu sijui alipewa ukocha wa timu ya vijana kwa vigezo gani.
umemaliza mada na nakuunga mkono.Mipango! Kila kitu ni mipango.
Nikisema mipango namaanisha kuanzia kwenye malengo ya kimkakati yaani dira, mipango yenyewe ya kufanya hayo malengo yatafsiriwe kuwa uhalisia (mikakati, mipangokazi, sera, falsafa, nk), na utekelezaji na ufuatiliaji wa hiyo mipango.
Je, tunayo malengo mahsusi au tunaenda tu? Jibu ni rahisi sana. Duniani hapajawahi kuwa na mafanikio pasipo mipango. Bahati mbaya sana miongoni mwa vitu wabongo huwa tunakwepa kufanya au tunaona kuwa complications ni "mipango".
Very well said. Vituko ni vingi aisee. Unaajiri kocha, unampa malengo (yasiyo thabiti), unaanza kumpangia wachezaji, kisha asipofikia hayo malengo unamtimua. Noma sana.umemaliza mada na nakuunga mkono.
Wabongo huwa wanapenda kitu kitokee chenyewe bila mipango endelevu.
Utakuta wanamuajiri kocha wanataka mechi yake ya kwanza tu ushindi upatikane,usipopatikana ushindi kocha anaonekana hafai na ajira yake inaota nyasi
Very well said. Vituko ni vingi aisee. Unaajiri kocha, unampa malengo (yasiyo thabiti), unaanza kumpangia wachezaji, kisha asipofikia hayo malengo unamtimua. Noma sana.
Yap. Hili suala limekuwa donda ndugu sasa. Timu yangu ya Simba kwa mfano, walikosana na Uchebe kwa kuanza kumlazimisha wachezaji flani kucheza. Ulipokuja usajili kapewa mchezaji mmoja tu Kahata miongoni mwa aliowataka. Wengine wote utashi wa "bodi". Kafanya vibaya wakamtimua.Ni matatizo sana.
Unamuajiri kocha kutoka nchi za mbali kwa pesa nyingi,anapewa nyumba na gari.
Halafu badala ya kumpa nafasi afanye kazi wanataka kocha afuate ushauri wa washabiki na wafanyakazi wa TFF ambao wao walishindwa kuifanya hiyo kazi.
Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Tukifungwa tunaanza kuunda kamati za ushindi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni mambo gani serikali imeweka kipao mbele?
Siku makonda alivyo jiingiza kwenye timu ya taifa nikajua hatupo serious kwenye mambo ya msingi! Kwa kifupi mpira wetu unaendeshwa kisiasa!
Hiyo ni tosha kuonyesha kuwa hatupo serious kabisaaaaaKwa mpira mipango inaanzia kwa mkurugenzi wa ufundi.
Aliyepo sasa hivi kateuliwa wakati taratibu zinataka hiyo nafasi itangazwe.
Mbaya zaidi aliteuliwa baada ya kutoka kufanya vibaya akiwa kocha wa timu ya vijana.
Na hapa ndio tatizo lilipoanzia.Ni kwl kbsa hata shule mm niliyo soma haina vipaumbele sana kweny michezo wao wanajali tu masomo
Tatizo vilevile kuwa tunapenda kutumia njia za mkato, na tunawaamini watu ambao siyo, tunashiriki kwenye ndumba katika kila sekta. Tuache kufanyiana rostoki, akiwa mtu kajaaliwa kipaji zaidi yako basi mkubali siyo unamuendea kwa babu ili apate ngwengwe au goti kujaa maji. Kitu cha mwanzo tuacheni ushirikina, halafu tuwekeze kwenye kabumbu na kuwaandaa vijana, "Perfection is not an accident."Mipango! Kila kitu ni mipango.
Nikisema mipango namaanisha kuanzia kwenye malengo ya kimkakati yaani dira, mipango yenyewe ya kufanya hayo malengo yatafsiriwe kuwa uhalisia (mikakati, mipangokazi, sera, falsafa, nk), na utekelezaji na ufuatiliaji wa hiyo mipango.
Je, tunayo malengo mahsusi au tunaenda tu? Jibu ni rahisi sana. Duniani hapajawahi kuwa na mafanikio pasipo mipango. Bahati mbaya sana miongoni mwa vitu wabongo huwa tunakwepa kufanya au tunaona kuwa complications ni "mipango".
Mkuu umenena ukweli mtupu...bt swala la kumeweka mfungaji bora wa ligi tena Mara mbili mfululizo kwenye benchi ni kurisk ajira yako kama kocha.....na hii ni ulimwengu mzima....ukifanya hivyo hakikisha unashinda ukifungwa hakuna atakaye kusamehe...yaani umuweke Messi benchi halafu timu ifungwe useme wasikupangieYap. Hili suala limekuwa donda ndugu sasa. Timu yangu ya Simba kwa mfano, walikosana na Uchebe kwa kuanza kumlazimisha wachezaji flani kucheza. Ulipokuja usajili kapewa mchezaji mmoja tu Kahata miongoni mwa aliowataka. Wengine wote utashi wa "bodi". Kafanya vibaya wakamtimua.
Kaja kocha mwingine naye analazimishwa kucheza na straiker wawili ilimradi tu kipenzi cha mashabiki apate namba. Soon utasikia kafungashiwa virago.
Mpaka tuwe na demokrasia ya kweli.Mimi nahis bado serikali yetu haijaweka kipaumbele katika michezo kama inavyoweka kweny masuala mengine, na kama kungekua kuna kipaumbele sana katika michezo Tunisia ilikua ni ya kuifunga 2 kwa 0.
Waafrika hawaitaji Academy...wanahitaji natural born talent baasiiiJe tuna academy ngapi kwenye hii nchi?
Je kwann michezo ilifutwa mashuleni?
Yaani ni chapter ndefu, ila tuache tu kwa leo.Hahahahh wanauchawi gani boss wangu