Juma sele
Member
- Nov 12, 2020
- 54
- 24
- Thread starter
- #21
Tatizo kubwa ni uongozi TFF wanaokotana, kama FAT ya kina El maamry ilikuwa na basi , TFF ya sasa hivi inapata ruzuku kubwa toka FIFA lakini badala ya kuitumia kuboresha soka wanaitumia kugawana ulaji.
Mkurugenzi wa ufundi sijui walitumia vigezo gani kumpa oazi, Jamhuri kiwelu sijui alipewa ukocha wa timu ya vijana kwa vigezo gani.
Message sent and derived