Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mpaka siku utakayojua kuwa Brazil haihitaji kiongozi Anayependa na Kujali Mpira ili itoe Vipaji ndiyo utapa jibu la swali lako.
Unadhani Uengereza kwa wanavyopenda mpira hawataki wabebe World Cup au Euro Cup? Au unadhani Brazil ndiyo wamewekeza Zaidi kwenye Mpira kuliko Uengereza?
Ukifikiria sana basi utakuja kuleta Uzi hama unaosema "WATANZANIA TUNAKWAMA WAPI HATA SOTE WA MJINI NA VIJIJINI TUSIWE MATAJIRI KAMA BAKHRESSA?"
Miaka 5 iliyopita nakumbuka Serikali ya China iliandaa mkakati wa Kitaifa wa kutaka kuifanya China iingie katika Ulimwengu wa Soccer.
Iliwaajiri Makocha wakubwa kutoka Ulaya, Ikaajiri Marefaree Maarufu kutoka Ulaya, Ikasajili Wachezaji Wakubwa kutoka Ulaya na Kuwalipa Mahela mengi ili Wavutiwe na China.
Ikaajiri Wakufunzi wa Mpira kutoka Ulaya, Inajenga Soccer Academy nyingi na za kisasa kabisa.
Leo unajua wamefikia wapi?
Ndugu huwezi kushindana na Tembo Kunya Boga.
Basket ball - Marekani
Football - Brazil, Argentina, Italy, France na Ujerumani.
Martial Arts - China
Cricket - India, Pakistan na Australia
Marathon - Ethiopia, Kenya na Somalia.
Hizo Fani hazilazimishwi Ndugu bali ni Asili tu.