Wapi tutapata video ya kongamnao la UDASA

Wapi tutapata video ya kongamnao la UDASA

Jatropha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2009
Posts
1,151
Reaction score
200
Wana JF wapi ninaweza kupta video ya kongamnao la katiba lililofanyika Jmosi tar 15 Jan 2011 Chuo Kikuu chga DSM na ambayo tutaweza kudownload ili tuweze kuisikiliza kwa kwa utulivu?
 
Najua ungependa kujua nini kilijili kwa siku hiyo. Hivyo angalia marudio ITV siku ya jumapili tarehe 23 January 2011 saa 7 mchana.
 
Back
Top Bottom