Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

Njombe Kuna Kijiji kimoj kinaitwa towe nilienda mwaka u mwezi w3 kule wanauza kiwanja af20 ili shida iliopo kule hamna Barbara ya uhakik Yan kule at pikipiki zinafika kwa shida
 
Lindi mbali sana
Hapo kisarawe ukipitia serikali ya vijiji heka moja unapata kwa laki moja kuanzia hekari 50 na kuendelea
Muongo hiyo hela hata ukienda Mwanalumango,Chole hupati kwa bei hiyo. Hapo Masaki ambayo ipo mbele ya Kisarawe bila Milioni hupati hata hekari moja.
 
Kwenye majiji ardhi ndiyo bei kubwa lakini mikoa mingine ardhi ni ya kuokota tu ,hawapimi wanarusha jiwe mpaka litakapoangukia ndiyo mpaka.
 
Ungetuambia shughuli gani za maendeleo zinafanyika. Mfano hapo Ruangwa mazao gani yanakubali sana hapo.​
 
Tabora ndani ndaniii hukooo Kuna maeneo unapewa bureeeee kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…