Wapi wana mtumba mkali kati ya hawa?

Wapi wana mtumba mkali kati ya hawa?

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Wakuu,
Nilikua napita kwenye mtandao wa kuuza magari, kwa wenye uzoefu/ufahamu.... Ni wapi wana gari makini zilizotumika?
1620377399932.jpeg
 
USA Baba ila bei zime simama
Alafu gari zao ni left hand, na Bei juu mfano Toyota Highlander. ya 2005 waweza kuta inauzwa dollar 5,500 na imetembea miles 160,00,,,, ukicheki Japan gari Hilo Kluger/Highlander la mwaka 2005 Bei dollar 2,500 , km 150,000.
 
Gari kote ni kali ila inategemea na quality ya hio gari, gari kama ford utazikuta zipo USA ndo zinaka imported kutoka huko coz ya production yake kubwa ni usa ila ukija kwa BMW etc utazikuta sana Germany kwasabu ya origin yake ni huko na mjapan gari zake nyingi utazikuta sana Japan... kuna ist nmeona inauza $ 4,040 C&F nikabaki nashngaa ila ni imenyooka hatari. Gari ni quality
 
Back
Top Bottom